
Ben Cyco – Leo Mp3 Audio by Ben Cyco
Download this song and enter the presence of God with an inspiring new single from the acclaimed and multitalented music minister “Ben Cyco“ titled “Leo”. This soul-lifting track comes with heartfelt lyrics and a breathtaking official music video. Dedicated to spreading hope and joy through kingdom music, this anointed artist continues to bless the body of Christ.
Immerse yourself in the divine harmony of Leo, where Ben Cyco masterfully creates a sound that uplifts and inspires. Let this heavenly composition fill you with peace and serenity, reflecting the artist’s deep reverence and devotion to God.
Experience the power of music wherever you are! Share your thoughts in the comments below and let us know how this song ministers to you. Stream it, download the MP3 audio for free, and spread the message by sharing it with others!
Leo Lyrics by Ben Cyco:
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo,
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo,
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Iliyomfufua Yesu anaishi Leo, iko hapa Leo
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Iliyowatoa wanaisraeli misiri, iko hapa Leo
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo,
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo,
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Anayetupugania vita vyetu vyote, yuko hapa Leo
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Anayetupugania vita vyetu vyote, yuko hapa Leo
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )